KIMOMWEMOTORS
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 358
- 675
Salam wana jukwaa.
Sasa tunakuletea mijadala ya kushirikishana na kuelimishana na ndugu zetu watanzania masuala mbali mbali yahusuyo tasnia yetu ya uagizaji wa magari kutoka nje ya nchi badala ya kuja na promosheni za mara kwa mara.
Mada hizo zitatumwa kila siku katika jukwaa husika la Magari. Hivyo wadau wanaomiliki na wanaotaraji kumiliki magari aina tofauti tofauti, karibuni sana kule katika kujwaa la Mgari tupate kushirikishana na kujadiri masuala mbali mbali kama vile:-
1. ELIMU: Namna ya kuagiza gari katika nchi yetu
2. MAPENDEKEZO: Tutazungumzia magari mbali mbali kwa kuhusianisha na kipato chake, jinsia yake, umri, makazi yake, biashara inayokusudiwa n.k
3. USHINDANISHO: Katika mada hizi, tutashindanisha magari 2 tofauti yanayoshabihiana kwenye mwonekano na gharama zake
4. MAREJEO: Hapa tutachagua gari moja na kuizungumzia kwa undani kuanzia imetengezwa lini, uimara wake, upatikanaji wa vipuli na mafundi, matumizi ya mafuta, aina bora ya injini n.k
5. SHUHUDA: Katika eneo hili tutakua tukitoa mrejesho wa wateja wetu mara wanapokua wamekabidhiwa magari yao
6. MWALIKO: Tumeanza kua na vipindi katika Radio na Television, hivyo tunapopata fursa hizo mtaalikwa muweze kusikiliza na kujifunza mengi zaidi kuhusu huduma zetu