William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kwenye vipande vya fedha na Hofu usimwamini mtu yoyote. CCM wamejua pa kushika.
Biblia inasema Yesu aliteua Mitume 12 tu aliowaamini Sana miongini mwa wanafunzi wake. Walishuhudia miujiza ya kila Aina na ishara nyingi kutoka mbinguni. Kama taswira za Elia na Mussa kilimani na Petro akashauri watengeze vibanda vitatu pale.
Lakini yalipoanza mateso Petro alimkana Yesu kuwa hamjui kabisa. Sio mwanafunzi wake. Sasa Lissu kashugulikiwa kalala mbele kibinadamu lazima wafuasi wake watawanyike tu. Ata baada ya yesu kufa wanafunzi wake walitawanyika wengine wakajifungia wengine wakarudi kwenye mishe zao za uvuvi.
Walirudi kwenye mstari alipoanza kuwatokea.
Watu humtukana Sana Yuda. Oh.. msaliti. Hakuzaliwa msaliti Yule. Alikuwa mtume wa Mungu ambaye Yesu mwenyewe alimteua. Ila kwenye uzia penyeza rupia. Na wayaudi walipenyeza. Na bahati zilipita kwa Yuda lkn Uwezi jua Zingeweza kupitia kwa Matayo au Ata Petro na wao uwenda wangechukua na kufanya alichokifanya Petro.
Mdee NI mtu, ana njaa kama wewe na Mimi. Kwa mazingira ya kukosa ubunge unazani angeishi vip? Kama manabii walishindwa yeye angeweza vipi?
Alikuwepo Askofu kakobe alipinga Sana serikali awali. Tra walipochungulia fedha za Kanisa lake na Mali na biashara za Watoto wake amekuwa mtu wa nyimbo za kusifu na kuabudu tu.
Nashauri kamati kuu wasifanye maamuzi kwa hasira na kukurupuka.