Kila mradi au biashara inahitaji mipango, fuatilia

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Kampuni yetu: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LTD tunatambua uwekezaji mdogo, wa kati na mkubwa unaofanywa na watanzania na wasio watanzania katika kujiletea maendeleo yao na ya nchi pia.

Kila uwekezaji unapitia CHANGAMOTO na VIKWAZO mbalimbali ili kufikia malengo yake. Zipo changamoto za kitaalamu na nyingine ni za kawaida. Vikwazo pia vipo vya kitaalam na vya kawaida. Kampuni yetu ni sehemu ya uwekezaji mdogo kabsa katika biashara za huduma hapa nchini, imesajiliwa kisheria na inafanya kazi bila mipaka.

Lengo letu kubwa ni kutumia uwezo wetu wa kitaalamu na fursa zingine katika kutatua changamaoto zinazowakabili wawekezaji wengine katika soko la huduma na bidhaa pia. Tunafanya mipango ya namna mbalimbali iletayo TIJA katika uwekezaji.
Ijulikane kuwa HAKUNA uwekezaji unaoendelea vema kama hakuna uwekezaji mwingine...hivyo kufanya kuwepo utegemeano mkubwa katika kuleta mafanikio ya kila uwekezaji.
Tumetambua hilo ndio maana kampuni yetu ikaja na MAENEO matatu (3) katika uwekezaji wake:

A) PROJECT AND BUSINESS DEVELOPMENT SERVICES
B) OUTSOURCING SERVICES
C) AGENCY SERVICES

Tafadhari tembelea blog yetu kujua zaidi; Bofya: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
 

Attachments

  • IMG_20150727_084456.jpg
    181 KB · Views: 100
KWA Kuwa Ofisi yetu; KIMI LTD ipo Mbeya, Huduma za Outsourcing kwa mtu au taasisi aliye nje ya mbeya anaweza kuweka mkataba nasi kwa ajili ya kumtafutia, kununua na kumletea Bidhaa yoyote inayopatikana huku au ukanda huu. PIA anaweza kuweka mkataba nasi kwa ajili ya Uwakala wa bidhaa au huduma yake ambayo hajaifikisha mbeya na angetaka kupanua soko lake ukanda huu. Kumbuka hatutafanya kwa kubabaisha, hii ni ofisi yenye usajili na leseni halali; OFISI imekuwepo maeneo ya maghorofani karibu na chuo kikuu mzumbe na sasa tuko kuhamishia maeno ya uwanja wa sokoine mkabala na NBC bank...mjini.

Tembelea blog yetu: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
mawasiliano yetu utayapata humo.
 
Gharama za consultancy zetu ni rafiki na nafuu kwa aina yoyote ya utatuzi wa masuala ya kimaendeleo. Tafadhari wasiliana nasi tujadili na tufikie mwafaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…