Nimechelewa mno kukufahamuMwanadada Mzalendo Flaviana Matata kupitia Foundation yake akitoa msaada kwa watoto wetu wa KitanZania, Mungu akubariki na akuzidishie!
Watoto wa Kitanzania wakijidai baada yakupata msaada kutoka kwa Mzalendo dada Matata!
Fikiria fisadi Lowasa & Co. wangeweza kujenga vingapi kama hivyo hapo chini kama kweli Umaskini wa MtanZania unawauma?
Kila La Heri Dada Faviana Matata!
Yaani kwake ni kama Tanzania ina watu wawili tu leo, Flaviana Matata na Lowassa. Mbona yeye hajajitaja nini kawafanyia hao watoto au hata wazee wa kitanzania? Au yeye ndiyo huyo Flaviana Matata? Tatizo kuna watu wapuuzi sana, mfano ni huyo mleta uzi. Yeye kwake kila kitu lazima aingize siasa za maji taka hata kama vitu havifanyiki kisiasa. Anyway, yawezekana Flaviana ni kada wa CCM "kama alivyo Samatta", lakini sijaona akitutajia orodha ya wanaCCM WOTE na wema wao waliowafanyia watanzania...hata serikali yenyewe ambayo ndiyo kwa makusudi kabisa ya kifisadi imeshindwa kuwajengea vyoo watoto wetu, na bado wanajinasibu kwa wema wa mtu mmoja asiyehusiana nao. Too cheap!Kwa kweli nampongeza kwa hilo na ni kazi nzuri, hata hivyo kuna watu sio wote wanaosaidia watu au kufanya mambo ya maendeleo wanaonekana mkuu.
Kulikua kweli na ulazima wa kutaja majina ya watu wasiohusika kwenye hilo tukio?
Sema kuoa au kuolewa na mtu star ni shida sana.
seeMwanadada Mzalendo Flaviana Matata kupitia Foundation yake akitoa msaada kwa watoto wetu wa KitanZania, Mungu akubariki na akuzidishie!
Watoto wa Kitanzania wakijidai baada yakupata msaada kutoka kwa Mzalendo dada Matata!
Fikiria fisadi Lowasa & Co. wangeweza kujenga vingapi kama hivyo hapo chini kama kweli Umaskini wa MtanZania unawauma?
Kila La Heri Dada Faviana Matata!