sio gaza mkuu,imeanzia kigali rwanda,laptop km 15000 zimegawiwa mashuleni,kila mtoto kagawiwa laptop na wamesema zingine zinakuja ifikapo 2015 kila shule mwanafunzi lazima awe na laptop,wakati asilimia 95 ya wananchi wako kizani umeme hakuna,inachekesha sana.UN imeanza na GAZA ambapo kila mtoto wa shule atapatiwa lap top yake.Tanzania baadae kidogo.
sio gaza mkuu,imeanzia kigali rwanda,laptop km 15000 zimegawiwa mashuleni,kila mtoto kagawiwa laptop na wamesema zingine zinakuja ifikapo 2015 kila shule mwanafunzi lazima awe na laptop,wakati asilimia 95 ya wananchi wako kizani umeme hakuna,inachekesha sana.
ni vichekesho vya ulimwengu hivi.....rwanda + kila mtoto na laptop = kuchekesha waliojinunia zao