Kila mtu ana kile kitu Hata hawezi kuacha kukifanya

Mzigua_255

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2026
Posts
908
Reaction score
1,857
Habari wakuu,

Kila mtu ana kile kitu Hata hawezi kuacha kukifanya
Yani tabia flani ambayo mtu kila akisema hii ni mara ya mishooo mwisho wa siku

Anajikuta haach na akifanya anajisemea mm ni mpuuz

Je wewe ni tabia gani ambayo huwez iacha kila ukisema mwisho unarudia

Mimi nyeto

SHARE
 
Yaani huu uzi usingekamilika bila "Selfie" kuwa kwenye orodha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…