Juma wa Juma
Senior Member
- Jan 13, 2017
- 150
- 221
[HASHTAG]#Trump[/HASHTAG]: Nchi yetu ni mfano wa ndege bora kabisa ulimwenguni ya Air Force one. Nitahakikisha tunaendelea kuwa taifa kubwa linalokua kwa kasi kiuchumi na kijeshi kama Air Force one.
#Shinzō_Abe: Taifa letu linakua kwa kasi katika teknolojia kama treni ya umeme. Dunia sasa inajifunza teknolojia kwetu. Japan itaendelea kuwa na kasi katika teknolojia mfano wa treni ya umeme.
[HASHTAG]#JPM[/HASHTAG]: Nchi hii ni kama Lori. Na kawaida dereva wa lori hasikilizagi kelele za abiria. Mimi nakanyaga tu ili mradi lori lifike.!
Ha ha ha haaaaaaa[HASHTAG]#Trump[/HASHTAG]: Nchi yetu ni mfano wa ndege bora kabisa ulimwenguni ya Air Force one. Nitahakikisha tunaendelea kuwa taifa kubwa linalokua kwa kasi kiuchumi na kijeshi kama Air Force one.
#Shinzō_Abe: Taifa letu linakua kwa kasi katika teknolojia kama treni ya umeme. Dunia sasa inajifunza teknolojia kwetu. Japan itaendelea kuwa na kasi katika teknolojia mfano wa treni ya umeme.
[HASHTAG]#JPM[/HASHTAG]: Nchi hii ni kama Lori. Na kawaida dereva wa lori hasikilizagi kelele za abiria. Mimi nakanyaga tu ili mradi lori lifike.!
Umechemka, dereva akishakaa macho yote mbele gari haiwezi kuacha njia hata sekunde. Iweje uconcentrate na usukani halafu gari liingie korngoni? Nyie mnaotaka ageuke ndo mnataka gari liingie korongoni
Amina, tutafika tu.Umechemka, dereva akishakaa macho yote mbele gari haiwezi kuacha njia hata sekunde. Iweje uconcentrate na usukani halafu gari liingie korngoni? Nyie mnaotaka ageuke ndo mnataka gari liingie korongoni