Kila mtu anatafuta riziki yake na kuitumia kadiri apendavyo! Sasa maneno maneno na kejeli za kukatishana tamaa vinatoka wapi?

Kila mtu anatafuta riziki yake na kuitumia kadiri apendavyo! Sasa maneno maneno na kejeli za kukatishana tamaa vinatoka wapi?

Itoye

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
531
Reaction score
1,023
Salaam,

Najiuliza kwa baadhi ya watanzania wenzetu, tatizo ni nini au tatizo liko wapi?

Hivi wengine wakifanya kazi BOT, wengine wakawa TRA, wengine wakawa PUMA na wengine wakawa machinga na wengine wakalima na wengine wakafunga nk nk nk, kuna tatizo hapo??

Wengine wakienda shinyanga kwa Ali kiba, wengine wakaenda Mtwara kwa Diamond na wengine wakaenda DSM kwa Kusaga/Ruge na wengine tukaendelea na mishe zetu, kuna tatizo hapo?

Si ni kila mtu anatafuta riziki yake na kuitumia kadiri apendavyo! Sasa maneno maneno na kejeli za kukatishana tamaa vinatoka wapi?

Good morning!
 
Back
Top Bottom