Kila mtu anatamani . . . . . . .

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Kila mtu anatamani kujua kama mke/mume,mpenzi kama anampenda na pia anampenda kiasi gani.Bahati mbaya huwezi kujua KAMWE,utapoteza muda wako bure.Mpaka unaenda kaburini hautojua.Kwanza haikuhusu,inayokuhusu ni wewe kupenda.Unaweza kupata mwanga kidogo kwenye matendo yake,lakini hapo kuna mkanganyiko,wengine wana matendo fake,wengine ni wagumu kama jiwe wengine hawaeleweki.We amua tu kupenda,kama unafikiri unaweza kujua kinachoendelea kwenye moyo wa mwenzako jaribu kujua uone!
 
ukimchunguza kuku................
 
Eiyer hii post mbona kama wairudia vile?
 
dah hapo kweli pagumu wangwana. Lol
 
Eiyer vp mkuu, uko njema?
 
Last edited by a moderator:
Mmmmhhh! Acha nishushe pumzi
 
Lakini upendo haujifichi.....hata kama ni feki kiasi gani utaona tu. Hawezi kufeki for the whole life. Hata matendo huendana na hisia..u will know for sure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…