Kila mtu apost internet speed yake. Yangu ndio hii. Mtumie speedtest.com ama u google speed test

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Can you give us the name of your office!? Unafanya shughuli gani!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ betting loser group of dummies Ltd
 
Ndio nimeshangaa, hawa watu huwa tunawalea sana...japo maskini jeuri.
😊 endeleeni kujidanganya server za TTCL zipo Kenya

Hapo ni kipi kimekufanya uamini kwamba hiyo ni TTCL?
 
Aah kumbe server za TTCL ziko NAIROBI?
Hao ndio wapinzani (nyumbu) wa Tanzania, wapo tayari kufanya chochote defamation ili tu serikali ionekane mbaya that's not TTCL and of course he can't use TTCL because he hates JPM even if they will offer free internet he won't gonna use it.

They can do anything to destruct the good will of the government like tundu lissu their master the way he worked with enemies against the government.
 
iyo ni screenshot imewekwa wacha kubishana ufala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…