Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,072
Ndugu zangu,
Kuna jambo limenifikirisha hapa nikaona nisiliache lipotelee hewani..
Humu ndani pamoja na kuhabarisha na kupiga soga, naamini kila mmoja ana ujuzi wa jambo flani kitaalamu.. Bahati mbaya ni wachache tu wamekuwa wakitumia nafasi zao kujibu baadhi ya mahitaji ya wahitaji humu..
Sisemi kwa ubaya.. Natambua mchango wa wajuvi wetu humu kwenye majukwaa ya sheria, afya, tech na kadhalika.. Lakini hawa ni wachache tofauti na uhitaji uliopo..
Nampenda Sky Eclat.. Huyu kiumbe pamoja na kuwa mtundu sana na mtu wa kujichanganya kwenye mizaha humu ndani, amekuwa akitoa professional opinions kwenye masuala nyeti ya Afya.. Hii ni role ambayo anaitendea haki..
Hata Petro E. Mselewa anajitahidi... Anapambana na vichwa vibovu kule siasa lakini haachi kutoa mchango wake kwenye masuala ya kisheria.. Mpaka raha..
Yupo mshana jr nae japo taaluma yake haiaminiki sana lakini anafanya yake kiroho safi kwa wanaomuamini..
Natamani ifikie hatua kila mmoja wetu humu ndani, hata kama ni chizi fresh, awe ana-play role flani ambayo anaimudu nje ya kupiga story za hapa na pale...
Nimekosea?!