Kila mtu aweke matokeo yake hapa

unaongelea nini!?
Toka kichwa cha uzi mpk maudhui hakunaga duu
 
Wazee,

Wakati mkiwa mnakamata Johnny Mtembezi, Gin, Vodka, Nyagi etc, jaribuni kukaa mbali na vitu viwili kati ya vingi.

Usukani, kwa sababu mnaweza kujiua.

JF, kwa sababu mnaweza kutuua kwa habari zenu zinazotapisha kupita delta ya Mississippi au Rufiji.
 
Yanga kamfunga African Leon tatu bila, tokeo zuri sana jana 20 August, 2012.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…