This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Ligi ya NBC ndiyo kwanza ipo mzunguko wa tano lkn Yanga wanaamini kwa kushinda mechi zote tano tayari wao ni mabingwa.
Simba kadroo mechi mbili kashinda tatu anaonekana ana timu mbovu.
Kila mtu anaiongelea Simba, kwamba bila Simba kuteleza hakuna mwingine atapata nafasi ya kuwa bingwa 2021/2022.
Hivyo kila mtu hata Yanga wenyewe wanasubiri simba iimarike ili ichukue ubingwa wake.
Simba ni tishio kwa kila timu.Na hakuna anayejiamini mbele ya Simba.
Mechi 5 za Simba zimetoa red card nne.Hii tafsiri yake Ni kwamba kila anaekutana na Simba amekamia siyo kupata matokeo bali simba isipate matokeo.Wakitoka droo unaona furaha yao wakipongezana.Wanaujua ubora wa Simba na si ubovu wa Simba.
Sisemi Yanga wako vibaya,la hasha Bali pamoja na ubora wao wa mechi hizi tano unaoimbwa lkn bila Simba kuteleza hawawezi kuupata ubingwa.
Yanga wanadai Strika wao ni bora mfano Mayele lkn namba hazidanganyi.Ktk mechi tano Mayele kacheza karibia dakika zote 450 Ana goli 2,Kagere ktk mechi tano kacheza dakika 127 pekee pia ana goli 2.
Nadhani ktk mpira chochote chaweza kutokea hivyo ni mapema sana kusema wewe ni bora na utakuwa bingwa kwa mechi tano.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app