sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,405 Reaction score 10,637 Dec 11, 2024 #1 Hebu wakuu njooni mtuambie apa Mwaka UKIISHA ukipiga hesabu za matendo yako Huwa UNAJIONA ulivyokuwa mjinga mwaka ulioisha?
Hebu wakuu njooni mtuambie apa Mwaka UKIISHA ukipiga hesabu za matendo yako Huwa UNAJIONA ulivyokuwa mjinga mwaka ulioisha?