GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Aishi Manula (Nisiyempenda )
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Mohammed Outarra (Nisiyemwamini)
6. Ishmael Sawadogo (aliyekosa Timu tokea February mwaka Jana 2022)
7. Kibu Denis (Nisiyemuelewa kabisa)
8. Nassoro Kapama (sijui hata nani alimsajili Simba SC)
9. Jean Baleke (Mgeni wa Ligi Ngumu na yenye Mabeki Masela wengi ya Bongo NBC Premier League)
10. Saido Ntibanzokinza (Fundi anayezeeka na Ubora wake na Bati lake la Kichwani analolipaka Supa Blaki)
11. Augustine Okra (Mchoyo namba Moja Simba SC nzima)
Wana Simba SC wenzangu mnaokiamini hiki Kikosi kuwa Kitashinda leo Usiku dhidi ya Dodoma Jiji FC hebu nishawishini nami GENTAMYCINE ambaye nina wasiwasi (hofu) Kubwa na Mchezo wa leo niwe na Imani kwani Mimi kila nikipima naona/nahisi kuwa leo Simba SC anatoka Sare au Suluhu au hata Kufungwa kabisa ila Ushindi utakuwa ni Finyu/wa Taabu sana.
Ninaitakia Kila la Kheri Simba SC leo.