Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
8,323
Reaction score
18,051
Katika maisha ya mwanamke wa kisasa, kuna stage imekuwa introduced inaitwa "Hoeing phase". Hii ni stage ambapo mwanamke anakuwa anataka kuwa huru kufanya yale yote ambayo jamii imekemea mwanamke kufanya au yale yote vitabu vya MUNGU vimepiga marufuku ili ajisikie kuwa ameishi kwa utimilifu maana bila kufanya hivyo maisha hayajakamilika kwake.

Mfano wa mambo yaliyopigwa marufuku na jamii na vitabu vya MUNGU ni

1. Kufanya umalaya yaani kulala na mwanaume zaidi ya m'moja au nje ya mume wa ndoa kwa sababu za kujaribu tu kuwa na mtu tofauti.

2. Kufanya Ukahaba yaani kutumia mwili kujipatia kipato au vitu ambavyo hawezi lipia kwa pesa yake mwenyewe na mara nyingi vinakuwa si vitu vya lazima kuwa navyo ila basi tu mradi kwenda na trend ya wakati husika.

3. Kuweka tattoo mwilini, kuvaa nywele bandia, kutia vipini hata sehemu zilizokatazwa kiimani.

4. Kuvaa nguo za kuachia maumbile yaonekane kwa lengo la kutamanisha wanaume ili wamfuate na kumtaka kingono.

5. Kuzurula mijini na kutoa macho kumangamanga kama binti aliyevunja ungo wiki mbili zilizopita.

6. Kumkana MUNGU kwa matendo na kumkiri shetani kama kiongozi wa nafsi kwa usiri na kwa hiyari.

7. Kuingiliwa na wanaume wengi kwa wakati m'moja baada ya kutumia kilevi cha kutoa aibu.

8. Kutengana na mume kwa muda na kukaa mbali na watoto for "sista hood" moment. Muda huu huwa wanaita vacation. Wanakuwa na kikundi cha marafiki mafenist a.k.a mafreemason wasiojua maana ya ndoa wala heshima ya familia, wanakuwa wasimbe wanaojifanya ni mabinti wa miaka 19 kumbe ni watu wazima wa miaka 27+ au hata 35+.

9. Kuzaa na mtu ambaye anajua kabisa kuwa ni irresponsible kuwa baba wa mtoto mfano, mume wa mtu, kijana ambaye hana appearance ya kuwa baba wa familia a.k.a wasuka rasta, wavaa mlegezo jeans kuchanika, tattoo shingoni, wazee wakushinda spaa akijitengeneza kucha na uso uwe soft kama wa mwanamke, mzee wa kuomba hela , kukaa kwenye apartments za dada, shemeji, au familia, etc, hawa ndio huwa wanaamua kuzaa nao sababu ni very cute, so adorable [emoji7] I want my baby to have your eyes, your lips.

10. Kutest maumbile ya madudu ya wanaume tofauti tofauti kila mwezi ili kugundua ladha wanazosema wanawake wenzake ambazo yeye hajawahi kuonja hata kama itarisk afya yake, ila hatojali.

11. Kutest kuingiliwa kinyume na maumbile sababu wanawake wenzake wamefanya na wanasema ni raha na ina faida kadhaa. (Ushenzi mtupu.)

12. Kucheza na hisia za mwanaume ambaye ana dhamira ya kufanya maisha ya ndoa nae na yupo tayari kwa commitments kwa kumpiga chenga za kitoto,deko zisizo na mbele wala nyuma, kuhairisha miadi kukataa proposals na kadhalika.
Deep down anakuwa anajua mwanaume ana upendo wa kweli ila anachagua kutompa nafasi anamuweka kwenye waiting list ili kwanza amalize "hoe phase" then akisha chakaa atamrejea baadae huko ndipo waongee maswala ya ndoa hapo aidha ana mtoto au watoto wa mwanaume au wanaume wengine, au umeshachakaa mwili hauna tena mvuto na ameshastuka kuwa soko lake (Sexual Market Value) imeanza declining phase na anapoteza attention kwa kasi sana.

13. Kupost picha, video, na captions zinazokwenda na trends za social network bila hata kujali wala kujua madhara yake siku za baadae. Ikiwamo pia na kujoin social networks kwa lengo la kuongeza market ya attention ya wanaume watakao mtazama na ikibidi kuwafanyia vitu wanavyotamania ili awashike akili na kuweza kupata chochote tokea kwao. Mitandao kama TikTok, Only Fans, Instagram inatumika sana kujinadi na kufanikisha "hoe phase" kwa kiwango kikubwa.



Whore phase kwasasa ni stage ambayo mabinti na wanawake wa kisasa wanaipa umuhimu sana, tofauti na mama na bibi zetu ambao waliiona kama ni abomination, Haramu na kwenda kinyume na maadili ya jamii na uanamke.
Hata miaka hiyo wapo wanawake ambao waliifanya kama kutoroka nyumbani kwenda club, kunywa pombe na vilevi etc mambo ambayo wazazi wakijua wanaweza patwa mshituko wa moyo.
Ila haikuwa extended kama na kwa kiwango kikubwa na cha kutisha kama cha sasa.
Whore phase kwasasa inafanywa with Passion na dedication kabisa na matendo yake yameongezeka level ya uchafu na wazi wazi na jamii ya wanaume Ma"simp" ndio wadhamini wa "hoe phase" wakikakikisha hawa mabinti na wanawake wanaojipitisha stage hii wanakuwa na security ya kufanya upuuzi wao kwa amani na kujiamini.
Mafeminist wamejitoa kuwa watetezi wa hizi laana na kutoongelea au kukemea popote huku wakijinadi kuwa wao mafeminist wapo kwaajiri ya kuteta ustawi wa mwanamke kumbe ndio washenzi mafreemason wa kwanza kwa kuudidimiza utu wa mwanamke kwa kumpotosha kuhusu value zake za asili.

Kwa upande mwingine wanaume Masimp wanawapa assurance wanawake ya kuwa watakapomaliza upumbavu wao na kutaka kuwa serious wao watakuwa milango wazi kuwapokea na kuwa mume mwema huku wakisamehe madhambi yao yote waliyowahi wafanyia au uchafu waliofanya katika usichana wao na watabeba majukumu yote ikiwamo watoto ambao si wao.
 
Kama ulivyokuwa hauchungwi na mtu uishie namna Fulani....na wewe hutakiwi kumpangia binadamu mwenzako kuishi namna unayoona we ni sahihi...
 
Mbona hao wanawake wa kisasa ni asilimia ndogo sana hata 1% hawafiki, ila uzito mkubwa uko kwenye hao wake zetu wamajumbani ni hatari kuliko hao wa kisasa, omba mungu usitendewe.
 
Inaitwa kuifata dunia.ndoa kwao ni utumwa,maana ndoa ni ibada na wao hawataki Ibada kwa sababu shetani ndie kiongozi wao
🤣Mnajua nyie watu ndo mnafanya dini ionekane imeundwa na mwanaume kwa ajili ya mwanaume....mara mwanaume akitaka apewe, mara mwanamke asionekane ngozi mwanaume atadisa...dini imetengenezwa kucontrol watu wasio na nguvu including wanawake. Cha kufanya ni kuwekeana mipaka na watu unaowajali na kuwafundisha maadili. Sio unaanza kukamia watu...je we ni bikra? Umeoa bikra? Hutamani wanawake mitandaoni? Sasa mna tofauti Gani. Tatizo wanaume tunapenda kuweka vigezo ambavyo sisi wenyewe hatupendi kufata na tukiambiwa tunakimbilia dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…