2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
nimekuwa na shangazwa na mfumo uliopo tized kwamba kila teknolojia inatungiwa kiswahili chake, tena ni bora kingefuatisha ile lugha ya kigeni la hasha bali kina wanatafuta neno sijui kutoka kabila gani huko wanalipachika kuleta maana waitakayo huu si jui kama ni ustaarabu wa lugha?
mfano nimekutana na neno ngamizi ya kupakata na ,
Na ngamizi ya flat screen.napata shida kuelewa lengo lao nini hasa katika kutunga majina haya kama majina ya Kiswahili au pengine nimekurupuka bila kujua inawezekana sio kiswahili. Na lugha hii ina-asili ya wapi?
wat mitaani hatutumii hizi lugha na hatuzijui mi naona kama tunazidisha sana hapa