Kila nikiamka


Miradi unakuwa nayo kabla hata ya kuwa na watoto wewe mbona huelewi???????
 

Hapo kwenye bold ndio maandalizi ya uchumi wa familia..........................kweli umasikini ni kitu kibaya hata luxuries mnageuza kuwa necessities!

Isitoshe matunda ya kuoa ni kuwa na watoto ingawa si lazima uwe nao; asa leo hata mmoja huna utawalea ka wajukuu na ndio mwanzo wa kuharibikiwa kwao...............maana nguvu za mikiki na wao wewe hutakuwa nazo!
 
Hapo kwenye bold ndio maandalizi ya uchumi wa familia..........................kweli umasikini ni kitu kibaya hata luxuries mnageuza kuwa necessities!

Umasikini jeuri!! Pia mie ningetegemea kuwa miradi ya kuingiza kipato ndo kujiandaa kiuchumi! Sasa sofa la kisasa litakuingizia sh ngapi mmmmh
 
Na usishangae ana demu kamnunulia makochi, TV, makabati etc!
 

haswaaaa,afu mnashangaa kwanini binti adi leo hajaolewa,mara anachagua sana,mara analinga (kibongo)
 

...34 years Old man Question. Mnh,
Inasikitisha sana.
 
Nakupa dada yangu bureeee.
Nataka ndugu kutoka jamii forums mwaka huu
 
Miili ya wanaume huzalisha testosterone usiku wakati tumelala. Kwa hiyo tukiamka asubuhi tunakuwa na elevated levels za hiyo testosterone ambayo ndio homoni ya kiume na ndicho kinachosababisha uume kusimama asubuhi. Ukishaoga na kuanza pilikapilika zako za kila siku, viwango vya homoni hiyo vinashuka.
 
Sa kama hujapata the right one uoe kwa minajili ya kufukuzana na umri!!

Unaweza ukawa na watoto katika age ya 22 lakini wakawa majambazi,wabakaji na etc.

Unaweza ukazaa katika age ya 20 lakini ukafa katika age ya 25. Mtoto wako atasomeshwa na nani?

Msiwe kama hamna matumaini kuwa kuna mungu. Yaani unadiriki kumpagia |Mungu eti nizae katika age ya 30 ili nikistaafu niwalee watoto vizuri.
Kwenye bibo kuna mshikaji alitafuta utajiri baada ya kuupata akasema sasa ni muda wa kula na kunywa. Mungu akamwambia " Mpumbavu wewe, leo nachukua roho yako".

Mambo yote ni mipango ya Mungu.
 
Natamani ushauri huu ausome my BF, mana I like marriage bt he's not ready
 
My ndugu, mipango ya mungu ipo tu kote na kila siku, sema tu na mhusika mwenyewe hadi awe na nia hiyo haswa ya kuoa. Si unajua wengine hamna huo mpango na hamko wawazi pia? Basi ndo inakuwa tafrani yake hiyo.
 

Senkyu Dr. Nyani Ngabu (MD...,)

Majibu mazuri - Lile somo letu la "Clinical" naona ulipata A+

Kwenye mada: Kimbweka, siku ukiamka asubuhi na "kitu" kikawa kimelala nenda hospitali haraka, otherwise, kwa sasa you look "very healthy". Lakini pia nakushauri umwambie GF at least mkutane mara 10 kwa mwezi: At the age of 34 and you have not married, it tells me kwamba ukiendelea hivyo unaweza siku moja "kubaka"! You have a LOT "unused testosterone" and this isn't good either.
 

Mkuu Heshima Mbele,
Tofautisha vitu viwili, kuoa na kuwa na mtoto, huyo jamaa anakwambia anamegaga kwa kila mwezi mara nne au tano, sasa unajuaje hana mtoto na yeye hajasema hivyo, mbona unamsemea?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…