Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hivi SImba hajawahi kufungwa akiwa nyumbani?Nakupa taarifa .. Raundi ya 2 Simba SC ana mechi 8 nyumbani.. Hapo ndo mtaita maji mtaita mma.
Sijauliza kwa msimu gani..!! Nimeuliza, Simba hajawahi kufungwa nyumbani?Kwa msimu huu bado.
Dah..!!! Mwamba unanilazimisha niwaze madhara ya Ngada..!! Swali langu hujibu unakimbiakimbia tu..!!Hakuna timu duniani haijawahi kufungwa nyumbani.
Acha upimbi wewe mwana mbumbumbu tatizo lenu ngada fc mnajitoaga ufahamu ata kwenye vitu ambavyo viko wazi, Kimahesabu bingwa wa ligi kuu uwa anaamuliwa na viwanja vigumu vya mikoani, ukiona timu yako pendwa kapepesuka kwenye viwanja vya mikoani ujue ndo mmeliwa hivyo, Sasa yanga mpaka sasa kacheza mechi 4 mikoani na kakusanya alama 12 zote, Simba kacheza mechi 2 mikoani kakusanya alama 4, mpaka mzunguko wa kwanza unakwisha simba atakuwa kacheza mechi 5 mikoani na yanga atakuwa kacheza mechi 8 mikoani, katika mechi 5 za simba mikoani tiyali keshadondosha alama 2, wenzao awajadondosha ata moja, Mzunguko wa 2 simba atacheza mechi 8 mikoani na yanga hizo 8 atazicheza kwa mkapa nafikiri naeleweka mantiki yangu ni ipi,,Hizo mechi 8 unazosema simba atakuwa kwa mkapa ni mechi za ujumla ambazo atakutana na yanga, azam,kmc,ruvu shooting na nyingine 4 zitakazotoka mikoani kwaiyo yanga anayo advantage kubwa ya kubeba ndoo kimahesabu kwakuwa atakuwa na mechi nyingi kwa mkapa mzunguko wa pili kwa kuzikaribisha timu 8 za mikoani pale kwa mkapa ukiongeza kmc, ruvu shooting, azam,simba, ambazo zitacheza kwa mkapa unapata idadi ya mechi 12 atazocheza yanga kwa mkapa mzunguko wa pili, Mpira ni mahesabu na mzunguko wa kwanza kwenye viwanja vigumu tiyali yanga keshaweka kibindoni point zake 12 nafikiri tumeelewanaNakupa taarifa .. Raundi ya 2 Simba SC ana mechi 8 nyumbani.. Hapo ndo mtaita maji mtaita mma
SINGIDA HAJAWAHI KURUHUSU GOLI ZAIDI YA MOJA KATIKA GAME.