Wakati wa yale matokeo ya kupikwa ya 2017, Uhuru alipewa choice, ama akubali kushindwa na Raila (which was true) au amtoe kafara rafiki yake kindakindaki.
Si unajua tena vile kiti cha urais kilivyo addictive hasa huko kwenu Afrika? Basi buana, mjamaa akafanya uamuzi wa kumgeuka rafiki yake, na kurudisha fadhila kwa Raila, ambaye wakati huo aliridhia kuwa mtulivu na kumpisha atawale his second term.