Abdalah Lyimo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 269
- 153
Wakubwa naileta hii mada hapa mbele yenu kwa atakaye elewa na atakaye kua anafahamu chanzo cha tatizo hili na tiba yake naomba anisaidie kwakweli sijisikii vizuri kwa kila siku mimi kulalamikiwa nahitaji kutulia na mwanamke mmoja ila inashindikana kwa sababu hizo msaada wenu wakubwa nahitaji kutambua tatizo hili ninini kwani sio kwa mwanamke mmoja kila ninaye fanya naye Mapenzi hali hii hua inamtokea lazima atasema Kizazi kinamuuma.