Abdalah Lyimo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 269
- 153
Daaaaah yawezekana Mkuu moja kati thinkers nilowakubar kwa Majibu yanayoendana na swali langu ni wewe bigup mkuu acha niya kusanye mawazo mengi zaid mkuuMkuu inaonesha unatumia nguvu sana ktk kufanya tendo hili pendwa badala ya kutumia akili na ustaarabu wa kumridhisha mwenzi wako, badili mbinu usiwe unamuingilia mwenzio kama unatwanga mpunga
Daaaaah Pa1 sana Mkuu inawezekana ni wao acha tuwasikilize kama wapo wenye hilo tatizoMkuu kwa hali ya sasa si wewe tu, ni idadi kubwa ya wanawake wa sasa ukiwa nao kwenye 6*6 baada tu ya mambo flani lazima aeleze kuhusu ugonjwa wa tumbo. Hasa la chini ama vinginevyo, mwanzo nilidhani tatizo nasababisha mm lakini kadri siku zinavyozidi nagundua ya kwamba ni wanawake wengi ambao wanasumbuliwa na tumbo hasa baada ya kufanya mambo hayo. Ikiwa wapo kwenye huu uzi watatusaidia kuelewa chanzo cha tatizo hilo.
Pa1 mkuu nmekuelewa sanaMkuu punguza matumizi ya nguvu nyingi katika mapenz unajitesa sana hata mwili wako
K nme kuelewa AhsanteTumia speed ya kawaida
So nifanyaje unanishaurutakuwa wamuingiliaa kwanguvu na uume unauuingiza sana kwa ndani
Pima urefu wa chombo chako. Kama kinazidi urefu wa kawaida itakuwa sababu . Basi tafuta mwenzi ambaye tumbo lake lnaweza pokea ujazo wa chombo chako. Vinginevyo tumia kwa uangalifu chombo chako.Wakubwa naileta hii mada hapa mbele yenu kwa atakaye elewa na atakaye kua anafahamu chanzo cha tatizo hili na tiba yake naomba anisaidie kwakweli sijisikii vizuri kwa kila siku mimi kulalamikiwa nahitaji kutulia na mwanamke mmoja ila inashindikana kwa sababu hizo msaada wenu wakubwa nahitaji kutambua tatizo hili ninini kwani sio kwa mwanamke mmoja kila ninaye fanya naye Mapenzi hali hii hua inamtokea lazima atasema Kizazi kinamuuma.
utakuwa wamuingiliaa kwanguvu na uume unauuingiza sana kwa ndani
Mwanamke yoyote yule duuu..Mkuu ninawasiwas na afya yako....Wakubwa naileta hii mada hapa mbele yenu kwa atakaye elewa na atakaye kua anafahamu chanzo cha tatizo hili na tiba yake naomba anisaidie kwakweli sijisikii vizuri kwa kila siku mimi kulalamikiwa nahitaji kutulia na mwanamke mmoja ila inashindikana kwa sababu hizo msaada wenu wakubwa nahitaji kutambua tatizo hili ninini kwani sio kwa mwanamke mmoja kila ninaye fanya naye Mapenzi hali hii hua inamtokea lazima atasema Kizazi kinamuuma.
Mmmmmhlabda una mtalimbo...