Kila nikiingia ofisini asubuhi Athumani kichwa wazi up.....!

Mm mwanamke.. ila acha utoto unatakiwa wewe ukijisikia uombe mechi upewe sio akupangie.. sasa hapo kuna umuhimu upi wa ndoa... ni sawa,na msela akijisikia anamtafuta mpz wake apewe mechi...ndo wewe...
ndio ndao hiyo ..... labda anatupangia ratiba...

si unajua wanawake huwezi shindana nao
 
Mm mwanamke.. ila acha utoto unatakiwa wewe ukijisikia uombe mechi upewe sio akupangie.. sasa hapo kuna umuhimu upi wa ndoa... ni sawa,na msela akijisikia anamtafuta mpz wake apewe mechi...ndo wewe...
Unampa Makavu.
 
Ukipata mke uwe unapiga kimoja cha asubuhi kinasaidia kukufichia aibu kama hizo
 
Kila ukidinda nenda chooni kajichue
 
nipo naye mzee..... na anapat ahaki yake kama kawa.. though kaniwekea ratiba.. only three times per week.. hapo ndipo shider inapoanzia
What! Hivi kumbe kwenye ndoa kuna mpaka ratiba ya chakula cha usiku?[emoji848]
 
Mm mwanamke.. ila acha utoto unatakiwa wewe ukijisikia uombe mechi upewe sio akupangie.. sasa hapo kuna umuhimu upi wa ndoa... ni sawa,na msela akijisikia anamtafuta mpz wake apewe mechi...ndo wewe...
duh.. ushauri taken
 
Ko ukiingia ofisini suruali inatuna [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Jifunze kuwa romantic ukijisikia ili mkeo afute hiyo ratiba autimatically. Yawezekana unamwambia leo nataka nipe" kama kenya akinunua kitu dukani hivyo anakosa ashku na wewe.
 
Pole sana at jitaidi kama unamke ufanye kila asubui bola ukaacha usiku bt asubui ukumbuke na kama hauna oa uishi na mke

Husaidia kupinguza makali pia hupunguza upigaj punyeto at
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…