Kila nikijaribu kukuza biashara yangu nakwama

TAXI42

Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
22
Reaction score
37
Nimejaribu kufanya biashara kwa uwezo wangu naona nakwama kunawakati unafika nashindwa kuelewa hii ni kweli au kuna mkono wa mtu.

Mwanzo nilianzisha Electronic money transefer mitaa fulani nikaipambania. Nilijaribu mbinu zote za kibiashara mwanzoni ilileta faida lakini ilikuja kutorejesha faida baada ya kuwekewa tozo wateja wakapungua na mtaani kila ukipita kibanda cha TIGOPESA Hawaoni biashara nyingine ni hiyo tu(JOKES) Nikajiuliza huu ni mkono wa mtu au.

Kama kawaida haikupita mda nikaingia katika biashara ya vinywaji vya jumla. Kiukweli nilipambana na ikasimama changamoto zilikuwepo lakin pia ilikuwa haileti faida kubwa sana.

Ukijaribu kuangalia nategemea kulipa ada za watoto na baadhi ya bills. Biashara ya vinywaji ni nzuri lakin kama una mtaji mkubwa kuanzia milion 10 ndio utaona matunda yake maana faida yake ni 100,200 umepata zaidi ni 500 katika katoni. Hapa sikuuza kreti za BIA.

Kwa uwezo wa Mungu nikapambana nayo hivyo hivyo lakin wakati naifanya nikajiongeza kwa kufanya biashara ya mafuta ya kupikia kidogo ilileta faida kiasi fulani maana kwenye 20ltr napata 5k ilisaidia kiasi fulani ukiuza dumu 10 basi una 50k nikaona biashara ndio hiyo nilipambana.

Nikanunua kagari kadogo kutoa mzigo point A kwenda B kwa kiasi cha 4.5m.

Biashara iliendelea ikatokea changamoto(STOPENDA KUIWEKA WAZI) iliyopelekea kupoteza mtaji wote ambao nilitumia katika biashara pesa ikatoka katika mzunguko nikabaki na Duka la vinywaji na gari hiyo. Lakini hali sio nzuri.

Nimeingia chimbo kujitafuta tena Mpango nilio nao ni kuuza hiyo gari na baadhi ya vitu nilivyo anzishia duka la vinywaji nirudi kupambana maana sijakata tamaa bado najitafuta na kwa uwezo wa Mungu naona ntarudi barabarani.

Kidogo nilicho nacho ndio kitanifaa mi kuanza kujitafuta tena. Nakipindi hiki stokubali why watu wengine wafanikiwe isiwe mimi Magari mazuri wanaendesha wao mimi hapana sikubali hata kidogo kuomba pesa kwa mtu nimeanza upya harakati na naziendeleza SITOFIA MISIRI MPAKA NIFIKE KAANAANI.

Haijalishi nimeshindwa mara ngapi nimekwama mara ngapi lazima nipambane nirudi barabarani. Nimejipa kiratiba cha Kufanya utafiti nianze na kipi baada ya kuuza hilo gari lini busti. Nafutilia kuona wenzangu wanafanya nini nilikosea wapi wapi niwekeze nguvu wapi nianzie wapi

Nimeamua kujipiga msasa kweli kweli katika mbio hizi za utafutaji. Hiyo ndio ntauza nijitaguye upya IPO SOKONI kwa UWEZO WA MUNGU NITARUDI TENA BARABARANI.
20230106_180704.jpg
 
Nimejaribu kufanya biashara kwa uwezo wangu naona nakwama kunawakati unafika nashindwa kuelewa hii ni kweli au kuna mkono wa mtu.

Mwanzo nilianzisha Electronic money transefer mitaa fulani nikaipambania.Nilijaribu mbinu zote za kibiashara mwanzoni ilileta faida lakini ilikuja kutorejesha faida baada ya kuwekewa tozo wateja wakapungua na mtaani kila ukipita kibanda cha TIGOPESA Hawaoni biashara nyingine ni hiyo tu(JOKES) Nikajiuliza huu ni mkono wa mtu au.

Kama kawaida haikupita mda nikaingia katika biashara ya vinywaji vya jumla.Kiukweli nilipambana na ikasimama changamoto zilikuwepo lakin pia ilikuwa haileti faida kubwa sana.
Ukijaribu kuangalia nategemea kulipa ada za watoto na baadhi ya bills.Biashara ya vinywaji ni nzuri lakin kama una mtaji mkubwa kuanzia milion 10 ndio utaona matunda yake maana faida yake ni 100,200 umepata zaidi ni 500 katika katoni.Hapa sikuuza kreti za BIA
Kwa uwezo wa Mungu nikapambana nayo hivyo hivyo lakin wakati naifanya nikajiongeza kwa kufanya biashara ya mafuta ya kupikia kidogo ilileta faida kiasi fulani maana kwenye 20ltr napata 5k ilisaidia kiasi fulani ukiuza dumu 10 basi una 50k nikaona biashara ndio hiyo nilipambana.
Nikanunua kagari kadogo kutoa mzigo point A kwenda B kwa kiasi cha 4.5m.Biashara iliendelea ikatokea changamoto(STOPENDA KUIWEKA WAZI) iliyopelekea kupoteza mtaji wote ambao nilitumia katika biashara pesa ikatoka katika mzunguko nikabaki na Duka la vinywaji na gari hiyo.Lakin hali sio nzuri.
Nimeingia chimbo kujitafuta tena Mpango nilio nao ni kuuza hiyo gari na baadhi ya vitu nilivyo anzishia duka la vinywaji nirudi kupambana maana sijakata tamaa bado najitafuta na kwa uwezo wa Mungu naona ntarudi barabarani.
Kidogo nilicho nacho ndio kitanifaa mi kuanza kujitafuta tena.Nakipindi hiki stokubali why watu wengine wafanikiwe isiwe mimi Magari mazuri wanaendesha wao mimi hapana sikubali hata kidogo kuomba pesa kwa mtu nimeanza upya harakati na naziendeleza SITOFIA MISIRI MPAKA NIFIKE KAANAANI.

Haijalishi nimeshindwa mara ngapi nimekwama mara ngapi lazima nipambane nirudi barabarani.Nimejipa kiratiba cha Kufanya utafiti nianze na kipi baada ya kuuza hilo gari lini busti.Nafutilia kuona wenzangu wanafanya nini nilikosea wapi wapi niwekeze nguvu wapi nianzie wapi
Nimeamua kujipiga msasa kweli kweli katika mbio hizi za utafutaji.Hiyo ndio ntauza nijitaguye upya IPO SOKONI kwa UWEZO WA MUNGU NITARUDI TENA BARABARANI.View attachment 2479814
Shilingi ngapi hiyo gar ndugu
 
Write your reply...sio kila unapotia gumu n mkono wa mtu,mda mwingine ni funzo ujue pakupita .mtangulize mungu pia fanya kazi kwa juhudi.
 
Fanya biashara ya uwakala wa wachezaji utanikumbuka....ina lipa sana
 
Nimejaribu kufanya biashara kwa uwezo wangu naona nakwama kunawakati unafika nashindwa kuelewa hii ni kweli au kuna mkono wa mtu.

Mwanzo nilianzisha Electronic money transefer mitaa fulani nikaipambania. Nilijaribu mbinu zote za kibiashara mwanzoni ilileta faida lakini ilikuja kutorejesha faida baada ya kuwekewa tozo wateja wakapungua na mtaani kila ukipita kibanda cha TIGOPESA Hawaoni biashara nyingine ni hiyo tu(JOKES) Nikajiuliza huu ni mkono wa mtu au.

Kama kawaida haikupita mda nikaingia katika biashara ya vinywaji vya jumla. Kiukweli nilipambana na ikasimama changamoto zilikuwepo lakin pia ilikuwa haileti faida kubwa sana.
Ukijaribu kuangalia nategemea kulipa ada za watoto na baadhi ya bills. Biashara ya vinywaji ni nzuri lakin kama una mtaji mkubwa kuanzia milion 10 ndio utaona matunda yake maana faida yake ni 100,200 umepata zaidi ni 500 katika katoni. Hapa sikuuza kreti za BIA
Kwa uwezo wa Mungu nikapambana nayo hivyo hivyo lakin wakati naifanya nikajiongeza kwa kufanya biashara ya mafuta ya kupikia kidogo ilileta faida kiasi fulani maana kwenye 20ltr napata 5k ilisaidia kiasi fulani ukiuza dumu 10 basi una 50k nikaona biashara ndio hiyo nilipambana.
Nikanunua kagari kadogo kutoa mzigo point A kwenda B kwa kiasi cha 4.5m.

Biashara iliendelea ikatokea changamoto(STOPENDA KUIWEKA WAZI) iliyopelekea kupoteza mtaji wote ambao nilitumia katika biashara pesa ikatoka katika mzunguko nikabaki na Duka la vinywaji na gari hiyo. Lakini hali sio nzuri.
Nimeingia chimbo kujitafuta tena Mpango nilio nao ni kuuza hiyo gari na baadhi ya vitu nilivyo anzishia duka la vinywaji nirudi kupambana maana sijakata tamaa bado najitafuta na kwa uwezo wa Mungu naona ntarudi barabarani.

Kidogo nilicho nacho ndio kitanifaa mi kuanza kujitafuta tena. Nakipindi hiki stokubali why watu wengine wafanikiwe isiwe mimi Magari mazuri wanaendesha wao mimi hapana sikubali hata kidogo kuomba pesa kwa mtu nimeanza upya harakati na naziendeleza SITOFIA MISIRI MPAKA NIFIKE KAANAANI.

Haijalishi nimeshindwa mara ngapi nimekwama mara ngapi lazima nipambane nirudi barabarani. Nimejipa kiratiba cha Kufanya utafiti nianze na kipi baada ya kuuza hilo gari lini busti. Nafutilia kuona wenzangu wanafanya nini nilikosea wapi wapi niwekeze nguvu wapi nianzie wapi

Nimeamua kujipiga msasa kweli kweli katika mbio hizi za utafutaji. Hiyo ndio ntauza nijitaguye upya IPO SOKONI kwa UWEZO WA MUNGU NITARUDI TENA BARABARANI.View attachment 2479814
Mkuu, nilichokuja kugundua katika biashara huwa kuna biashara kwa ajili ya cash flow na kuna biashara kwa ajili ya expenses za mmiliki wa biashara. Kwa hiyo ukitaka kusurvive baada ya kujipanga jitahidi sana kuwa na business structure zitakazosupport bishara. Kwa mfano ukaintegrate bishara zaidi ya moja ili ziwe zinapeana support. Pia muombe Mungu sana akupe maarifa ya kibiashara kwa sababu ukikosa maarifa utakuwa unaamini uchawi au mkono wa mtu kumbe kuna vitu vidogo tu ukifanya mambo yanaenda sawa. Yangu ni hayo tu mkuu.
 
Kwa ulivyoeleza hakuna mkono wa mtu mambo tu hayakaa sawa Kuna siku utatoboa
 
Usikute huo mchuma ndo parasite mkuu...kikubwa fanya tena na tena
 
Nimejaribu kufanya biashara kwa uwezo wangu naona nakwama kunawakati unafika nashindwa kuelewa hii ni kweli au kuna mkono wa mtu.

Mwanzo nilianzisha Electronic money transefer mitaa fulani nikaipambania. Nilijaribu mbinu zote za kibiashara mwanzoni ilileta faida lakini ilikuja kutorejesha faida baada ya kuwekewa tozo wateja wakapungua na mtaani kila ukipita kibanda cha TIGOPESA Hawaoni biashara nyingine ni hiyo tu(JOKES) Nikajiuliza huu ni mkono wa mtu au.

Kama kawaida haikupita mda nikaingia katika biashara ya vinywaji vya jumla. Kiukweli nilipambana na ikasimama changamoto zilikuwepo lakin pia ilikuwa haileti faida kubwa sana.

Ukijaribu kuangalia nategemea kulipa ada za watoto na baadhi ya bills. Biashara ya vinywaji ni nzuri lakin kama una mtaji mkubwa kuanzia milion 10 ndio utaona matunda yake maana faida yake ni 100,200 umepata zaidi ni 500 katika katoni. Hapa sikuuza kreti za BIA.

Kwa uwezo wa Mungu nikapambana nayo hivyo hivyo lakin wakati naifanya nikajiongeza kwa kufanya biashara ya mafuta ya kupikia kidogo ilileta faida kiasi fulani maana kwenye 20ltr napata 5k ilisaidia kiasi fulani ukiuza dumu 10 basi una 50k nikaona biashara ndio hiyo nilipambana.

Nikanunua kagari kadogo kutoa mzigo point A kwenda B kwa kiasi cha 4.5m.

Biashara iliendelea ikatokea changamoto(STOPENDA KUIWEKA WAZI) iliyopelekea kupoteza mtaji wote ambao nilitumia katika biashara pesa ikatoka katika mzunguko nikabaki na Duka la vinywaji na gari hiyo. Lakini hali sio nzuri.

Nimeingia chimbo kujitafuta tena Mpango nilio nao ni kuuza hiyo gari na baadhi ya vitu nilivyo anzishia duka la vinywaji nirudi kupambana maana sijakata tamaa bado najitafuta na kwa uwezo wa Mungu naona ntarudi barabarani.

Kidogo nilicho nacho ndio kitanifaa mi kuanza kujitafuta tena. Nakipindi hiki stokubali why watu wengine wafanikiwe isiwe mimi Magari mazuri wanaendesha wao mimi hapana sikubali hata kidogo kuomba pesa kwa mtu nimeanza upya harakati na naziendeleza SITOFIA MISIRI MPAKA NIFIKE KAANAANI.

Haijalishi nimeshindwa mara ngapi nimekwama mara ngapi lazima nipambane nirudi barabarani. Nimejipa kiratiba cha Kufanya utafiti nianze na kipi baada ya kuuza hilo gari lini busti. Nafutilia kuona wenzangu wanafanya nini nilikosea wapi wapi niwekeze nguvu wapi nianzie wapi

Nimeamua kujipiga msasa kweli kweli katika mbio hizi za utafutaji. Hiyo ndio ntauza nijitaguye upya IPO SOKONI kwa UWEZO WA MUNGU NITARUDI TENA BARABARANI.View attachment 2479814
Nimesoma uzoefu wako kwny biashara lakini kinachoumiza kwny biashara ni kodi ya fremu,kodi za sirikl kiujumla nadhani nimeeleweka matumizi yako binafsi maana wakati mwingine unatakiwa uipe biashara muda wa kujiendesha ndio ufanye matumizi yaani pambania mtaji ukue iliuzalishe faida
 
Back
Top Bottom