Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

pole sana. ila shukuru Mungu ulikutana na mwanamke asiyejua sheria wala haki. kile kitendo cha kutorosha watoto tu kingekusumbua sana pamoja na kwamba ulikuwa na sababu ya msingi. huyo wa kike usingekuwa na nafasi kuishi naye alitakiwa aishi na mama, na huyo mdogo ndio kabisa hadi angetakiwa kufika 7 years. yote katika yote, ulibahatika kuoa mwanamke mbumbumbu na hilo lilikusaidia.
 
Wanawake ni makatili sana... hongera sana mtoa mada
 
Inahuzunisha sana. KATAA NDOA, NDOA NI UKATILI KWA MWANAUME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…