Kila nikijaza address ya silent ocean inakataa nakosea wapi wajuvi

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
830
Reaction score
1,449
Ni mara yangu ya kwanza kutumia pinduoduo nimeshamaliza taratibu zote shida ipo kwenye kujaza address
Screenshot_2023-11-05-06-33-08-027_com.naver.labs.translator~2.jpg

Mkuu si naskia ni mwezi mmoja tu
We endelea kusikia

Ila mwezi mmoja wa meli kutoka china to Tz. Mzigo kutoka badarini ni foleni nyengine inayo jitegemea.

Mzigo wangu uliondoka na meli sep 05 umekuja kufika warehouse Dsm Nov 01...
 
Ni mara yangu ya kwanza kutumia pinduoduo nimeshamaliza taratibu zote shida ipo kwenye kujaza address View attachment 2804217View attachment 2804217
Kaka vp nimeona uliandika mwaka jana uzi Wa pinduo duo, kaka mm nataka kuagizia PC ya HP china kwa pinduo duo ni uwakika au Bora ninunue ebay au amazon Yan bora nichukue lilipo soko la hp maana nataka HP envy ile touchscreen na pia ni 360rotation corei5 SSD 225gb NB: 360 rotation and touchscreen ilabudget yangu ndogo sasa km 350k uko ebay au pinduo au amazo nasikia bei kitonga kdg sasa naona niagize us maana nasikia ndyo za zalishwa uko ila sijui kutumia ebay Wala amazon Wala agent napata vp kwabongo maana sijui nianzie wap nataka nijue kupa hii PC hp kwabei nzuri nitapa kwa app gani then nitatumia agent gan kwa Wa gharama nafuu then nitatumia njia gani malipo ambayo sitapata makato makubwa inshort mm ni nakubalia ushauri maana nimekufata inbox msaada Wa kimawazo mkuu
 
Agent wa ndege from US nenda Instagram jaribu kuwacheki hawa jamaa wanaitwa Astraline Logistic au wengine kama sikosei wanaitwa MK Logistic. Silent Ocean wana ofisi pia US but i'm not sure kama wanasafirisha kwa ndege.
 
Nataka kwa ocean gharama za ndege sina mm
 
Back
Top Bottom