Hivi ni kwanini TANZANIA haiwapi kipaumbele WANAUCHUMI kama nchi nyingine? wakati wanauchumi ndo nguzo la taifa ktk uchumi wa nchi.maamuzi mengi (kiuchumi) yaserikali ye2 yanafanywa na watu ambao hawajasoma uchumi na ndo maana kila siku tunalia gharama ya maisha inapanda!! Pia ktk masomo ya vyuo vikuu wanachukulia kama si somo ambalo linaweza kuisaidia nchi ktk matatizo mbalimbali(hawatoi vipaumbele kwa wanafunzi wanaosoma hili somo).WAMESAHAU KABISA KUWA UCHUMI NDO MHIMILI WA NCHI YE2 KTK KUTATUA MATATIZO YA KIUCHUMI KTK NCHI.huwa napata kigugumizi cha majibu kila ninapojiuliza hili swali...je hawajui umuhimu wa hili somo?au wanajua lakn kiburi 2 ndo kinawasumbua?au wanataka kufaidi peke yao bila kuangalia jamii inayowazunguka?au wanauchumi wa nchi hii hawana huo uwezo mpaka wanawapa maichinia waweze kutatua watatizo ya nchi?JAMAN TUSIPO LIANGALIA HILI JAMBO KWA KINA(ingawa limejificha sana)TUTAISHIA KULIA KILA SIKU NA HAKUNA SIKU YAKUNYAMAZA COZ HAKUNA MTAALAM WAKUTUNYAMAZISHA(wachumi)