Naona unanitukana kizungu kwakua sikijuiDada Vinci naona unaendeleza Shenanigans zako halafu mimi nakusanua tu.
teh teh teh teh teh,...
Ahahahaa ndo akaguswa mwezio aseecivil engineer sisi c wazembe kiivo jamn...mtu atakupaje m5 kizembe ivoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa!!!Huyu mtoto wangu anadhania mimi ni wa Dar es salaam kumbe walah!
Mimi siyo mkazi wa Darislam bwanaa,.....
Hata mimi kizungu sikujui vizuri..Naona unanitukana kizungu kwakua sikijui
Zamani ilikua ni fahari kuwa wa dar sasa siku hizi ni fedheha kubwa sanaMimi siyo mkazi wa Darislam bwanaa,.....
Sasa Dada Vinci kakomaa sana anahisi mimi mwenzake labda
Nawe wa dar pia...Zamani ilikua ni fahari kuwa wa dar sasa siku hizi ni fedheha kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Viagra yu wapii..Hata mimi kizungu sikujui vizuri..
kweli MkuuSijawahi kumuamini yeyote Jijini Hapa. Ikishapita salamu basi nakula buyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naona umekosea, maana nimeona mtu kaibiwa kizembe kabisa. Sijaona mwenye akili nyingi!Hapana sijakosea
Mkuu sio kizembe sema hujaingia anga hizo!Mimi naona umekosea, maana nimeona mtu kaibiwa kizembe kabisa. Sijaona mwenye akili nyingi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaumwa bwana...Viagra yu wapii..
Ndiyo shida ya miji mikubwa, kuna kitu kinaitwa multi-curturalism kinaweza kukuharibu au kukujenga.Zamani ilikua ni fahari kuwa wa dar sasa siku hizi ni fedheha kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifanya jambo muhimu sanaNdiyo shida ya miji mikubwa, kuna kitu kinaitwa multi-curturalism kinaweza kukuharibu au kukujenga.
Ndiyo maana mimi shule nilikataa kabisa bwana mdogo asisome Dar japo yeye alitaka hivyo nikagoma.