Kila nikikumbuka hili tukio nacheka mwenyewe

Hahaa! Wish I was in the crowd. Haha.MK254, that gave you a unique entrance. I bet the audience was very alert from then on.

You shouldn't wish to be either in my position or that of the audience, because it's like everybody wanted to just vanish in disgust. Trust me, it's a messed up situation, so screwed that you can't gain your focus or confidence back, especially if you're to present while standing at the podium like a preacher.

No matter how much you feign some confidence, there will always be some damned reminder back in your head telling you about what everyone is thinking of you, and that no one is even listening to your bla bla, they are staring at you with all manner of evil thoughts filling up their minds.

There are those moments in life you feel like bats have been purposefully released from hell to haunt you.
 
Mimi nilidhani porn ni kwa vijana ambao bado hawajawa na majukumu kumbe mpo watu mliopata hadi nyadhifa za kusimsm mbele za watu bado mnaangalia porn

Kusimama mbele za watu linawezekana hata ukiwa bado dogo fulani kiumri, sio lazima uwe umekomaa, tia bidii utafikia hapo hata ukiwa dogo. Halafu porn huwa imeandikwa 18+
kwamba yeyote aliyezidi miaka 18 yu radhi kutizama, na hawajasema aachie akifikia umri gani.
 
Mkuu Laptop sio Kero..wewe mtumiaji ndo kero
 
Hehehe!! Mbona application zote huingia kwenye hibernation kila ukifunga laptop. Sasa ikawa movie ndio sugu na inasubiri kunitia aibu ya mwaka.
Usijali,, imekutokea wewe ili iwe fundisho kwa wengine...kwa wapenzi wa hiyo kitu chafu watakua makini sasaa
 
Mimi huyu jamaa yangu najua vizuri ni addict. Sasa ilikuwa tupresent kwa pamoja kwenye semina fulani ilikutanisha watu wa kanda zote za Tanzania.

Asubuhi kabla hatujaondoka lodge tukaarifiwa tubadilishe kidogo topic yetu kwa kuwa kuna wanasiasa walikuwa na agenda zao. Ilikuwa tupresent asubuhi lakini tukaambiwa nafasi yetu ni baada ya breakfast.

Mabadiliko tuliyafanya kwa muda mfupi tu tukamaliza mimi nikaenda kwenye chumba changu kujiandaa, kumbe jamaa aliutumia muda huo kujilipua

Kufika ukumbini dereva wetu kutaka ujiko akaenda kuandaa laptop kumbe mshaji alikuwa hajazima manyanga nyanga yake mi sijui ilikuwaje lakini noma iliyotokea pale ilikuwa balaa. Mi nilitamani kujificha chini ya meza maana watu hawakuweza kujua ni nani kati yetu watatu alifanya vile
 

Hehehe!!! Noma sana, halafu lazima jamaa yako huyo alikausha ili asitajwe yeye.
Bora hapo yeye alikua na wakufa nao, mimi nilikua mwenyewe mazima mazima, macho yote kwangu, jasho linanidondoka halafu button ya power off imegoma balaa.
 
Kuna mama mmoja akinihadithia. Yeye lakini yaliyompata yalikuwa sio video bali nia audio ya matusi. Humo papuchi inatajwa waziwazi, sijui n.y.e.g.e, sijui nitom.... Alikuwa anataka kusilizia mziki kwenye simu badala yake kwa bahati mbaya akaweka hio nyimbo, na yupo na watoto na wakwe zake yaani wake wa watoto wake.
Hapo hata sauti alisahau button za kupunguzia ziwapi, simu ndo kama inataka sifa nyimbo inaimba kwa kelele.
Mwisho aliipiga na chini, ikatoka betri. Lkn aibu ilimkumba. Maana baada ya hapo hakukuwa tena na story. Kila mmoja alinyamaza.
 
Mimi nilimtumia supervisor wangu kwa email movie ya ngono, sijui ilitoka wapi. Nilikuwa naupload folder - zipped ambalo lilikuwa na project, kumbe ndani ya hilo folder kulikuwa na mp4 ya ngono. Supervisor alikuwa ni mwanamke. Ilibidi aniite, na kuniambia "can you explain to me what is this?". Tangu hapo tulianza urafiki na sasa tumeoana - mke wangu, alikuwa ni mdada mdogo tu mzungu.
 

Kuanzia hapo mnanuniana nyote.
 
Bora wewe kuna jamaa tulipanga nae Nyumba moja mitaa ya Mabibo Hostel kuna siku alikua anaangalia porn bahati mbaya umeme ulikatika basi akafunga mlango akasepa tena alienda bagamoyo baada ya kurudi umeme hakuna aliyeamini masikio Yake si unajua haya masabufa ya kichina yanasauti automatic 40 mbaya zaidi ilikua DVD
 
Kwahiyo mpaka dvd ilipoisha ndio mji ukatulia....?
 
Hivi visa vinachekesha sana. Kuna kisa kila nikikikumbuka huwa nacheka sana.
 
Ungekuwa na headphone ungezichomeka fasta.. Ila maji yakishamwagika ha ha ha ..
 
Ha ha ha ... Dereva hapo alikuwa hajui hata kitu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…