mens12
Member
- Apr 8, 2022
- 69
- 143
Habari wana jf, poleni na majukumu. Nimefikwa na jambo linalo nitatiza ikabidi niwakimbilie kupata msaada.
Hivi karibuni nimepata mwanamke ambaye ameonesha upendo mkubwa na kunijali sana ila kuna kitu hakiko sawa naninahitaji ushauri au tiba hasa.
Tatizo:
Kila nikikutana nae kimapenzi tu basi siku inayofuata anaingia kwenye siku zake hata kama anasiku mbili toka amalize siku zake.
Na tukiwa kwenye tendo huwa ananiambia nisiende kwa kasi au rudi nyuma kidogo hasa kama akiwachali au akiwa amepiga magoti na akiinama kwenye tendo, akidai namuumiza.
Niko njia panda naomba msaada waungwana.
Asante!