Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Hili limekuwa tatizo kwangu, mwanzon nilion kawaida lakin cku zilivyozid kwenda nikarud kwa dactari, naye akanipa jibu jepesi kuwa ni uoga wa dawa so its just psychological problem! Ila kwa kweli hii hali huwa inanitesa kila nimezapo dawa kwan huninyima raha mda wote navyozisikia kama zmekwama kiasi kwamba had hunilazm kukatiza dozi!,hali hudum kwa siku 3 had 5 baada ya kumaliza dawa! Tafadhali, kwa anayefaham ni tatizo gani na naweza kuliepukaje! Kuhusu maji, nakunywa YAKUTOSHA KABISA ILA WAPI! msaada wenu tafadhali!