we hilo nitatito la kisaikolojia dokta laikuwa sahihi sema labda hakukupa mbinu za kuondokana nalo. kunanjia kazaa za kushinda uoga au kuvunja tabia hivyo jaribu yafuatayo
1.ekszosheni(nimeshindwa kwa kiingereza) hapa mtu ana jaribu kuacha tabia au kuvunja woga kwa kulifanya jambo hilo mara nyingi mpaka limchoshe au alizoee hapo alimwogopeshi tena, so nakushauri tafuta karanga uwe unakunywa kama dawa yaani karanga funda la maji karanga funda la maji sijui ufanye kwa muda gani sababu sina experience ila jaribu labda mwezi, fanya kwa jinsi utaona haikuuzi.
2. njia nyingine ya kuvunja uwoga/tabia ni substitution yaani tafuta tabia au njia mbadala sasa nakushauri uwe una tafuna dawa badala ya kumeza ila ujue kuna dawa zingine hazitakiwi kuwa chewed
pengine ungesema kama maishani uwewahi kukabwa na dawa au kitu chocote maana inaweza ikwa stimulus
generolaizesheni at work.