jamani wewe umejichanganya.......kwenye maelezo yako inaonyesha ni wewe ila unasema ni rafiki yako.....hata ungesema its u....msaada ungepata.......but nashauri ukiandika soma tena ili ujue mistakes zako maana hapo umechanganya tenses mara unasema yule jaa mara niki.... so be careful