Daaaaaaaah hako kashakuwa kaugonjwa kangu ka siku nyingi, ila si mchezo kanasumbua na ukichukuliwa wife yuko far away basi balaaa, hua natumia muda mwingi sana kwa ofisi so nikitoka na kuwaona mfano hawa wasuaso hapo chuo daah inakuwa hivyo, kinachosaidia nakua kwenye gari so inakuwa very short kisha napita, na nikifika home full TV sina pa kwenda labda kwa tizi jioni,najisikia ulijali kuliko km kitu ingekuwa doroooo si ningewaona wamasai.Nakushauri uvae skin tight sile za kiume angalau zitazia mkulu kufutuka sana, ila hizi za kawaida utauza mechi kaka.