Kila nikinywa chai ya rangi lazima niumwe tumno tatizo ni nini?

Nyoka kibisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
568
Reaction score
1,507
Wadau nimekuwa na tataizo la muda kidogo na nimeshakwenda kwenye hizi hospital zetu za wilaya kulingana na hali yangu tatizo halijajulikana kwa kweli.
Kila nikitumia chai ya rangi hasa nikiweka majani baada ya kunywa lazima tumbo liniume kama dk 15 hadi 30 baada ya hapo linapoa kabisa na kuuma inakuwa haiumi saaana inauma kidogo kidgo naombeni msaada kuwa huu ni ugonjwa gani unaninyemelea maana ni la muda kdgo.
 
Pole mkuu. Kama majani yanakuumiza kwani ni lazima unywe chai?
 
ahsante bro but kulingana na mazingira yangu ni lazima ntakumbana tu na chai
Nilichomaanisha ni kuwa tumbo lako lina react kila unapotumia chai sasa kwanini usitafute alternative ya chai?

Hata kama kwa mazingira yako lazima ukumbane na chai kwahiyo kwako wewe ni bora kuumia lakini unywe chai? 😲😲
 
Achana na Majani ya Chai, tumia Mchaichai hafu uje ulete mrejesho hapa!

Vitu vingine sio mpaka uende Hospital Mkuu, kama unatumia kitu na kinaleta shida, busara ni kuacha kukitumia au kwenda Hospital?

Binafsi nilishaachana na matumizi ya majani ya Chai baada ya kusoma Madhara yake....
 
Hilo tumbo lina kuumaje? lina nyongorota au kama lina jaa gesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmnh?!
Nazani umejiwekea tu kichwani kwako kuwa ukinywa chai ya Rangi utaumwa!
Unahitaji tu ufahamu flani yani hata bila dawa wala maombi hiyo hali itakuacha kabisa!
Caffeine haiwezi kuwa na athari ndani ya muda mfupi hivyo na athari ya hivyo !


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…