Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kicheche! wote hao!
Nimekuwa najiuliza, lakini sipati jibu. Mpenzi wangu wa Primary alikuwa Mashoto, wa A Level alikuwa Mashoto, then huyu wa sasa naye ni Mashoto, hii imekaaje? Sijui nitaona Mashoto?
kaka mkubwa hapo kwenye red sijakuelewa.Nimekuwa najiuliza, lakini sipati jibu. Mpenzi wangu wa Primary alikuwa Mashoto, wa A Level alikuwa Mashoto, then huyu wa sasa naye ni Mashoto, hii imekaaje? Sijui nitaona Mashoto?
kaka mkubwa hapo kwenye red sijakuelewa.
nenda ka edit basi"Sijui nitaoa mwanamke Mashoto?"
Big Up
Nimesoma na watu wanaotumia kushoto ni VIPANGA darasani
Inaelekea kaka unajua kuchagua
Hongera sana