doctor mwanafunzi
Member
- Jun 16, 2024
- 45
- 56
Kila nikipata mpenzi tunakaa kidogo tu tunaachana, hata kama namjali kwa pesa, kumjulia hali mara kwa mara kutoka nae ( kumtoa out) yaani kwa kila binti ninaempata hata nimtendee wema kiasi gani lazima aniache tu