Maombi hayawatishi mapepo endapo wakibaini kuwa wewe ni mdogo katika upeo wa kiroho.
Wale wana uelewa mpana, wanaona mpaka ndani mwako, wamekupima wakaona una uzani mchache.
Ukitaka kuwabutua lazima ufahamu wako uinuke sana ujitambue barabara.
Vinginevyo watakusumbua sana, na hata wao wenyewe wanaweza kukusababishia HARUFU YA MDOMO au ya MWILI au wakakutengenezea KIINI MACHO wapenzi wakikutazama wanakuona mbaya na usiyevutia.
Wale ni MABINGWA wa kutengeneza VIINI MACHO, au wanaingia kwenye fahamu za wapenzi unaokutana nao wanaanza kuwashawishi kwamba wewe ni MBAYA.
They are MASTERS in MIND GAMES, tricksters and extremely DECEPTIVE.
Kuwa makini, and i can assure you, wala huna tatizo lolote la kimsingi, ni KIINI MACHO kidogo tu.
Cc:
min -me