habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
- Thread starter
-
- #21
Wataka ugomvi Na vidume wa ukawa sio? Sharti LA kwanza lazima uongoke uvae uzalendo waweza kuwa mwanafamilialumumba wamejaa lakini nataka kutoka upande wa Ufipa kinondoni maana nasikia majukumu ya ndoa wanayajua
sahau kuhusu hilo.. Natumia gia ya kwenda kwa wazazi lazima nikuchukue tuWataka ugomvi Na vidume wa ukawa sio? Sharti LA kwanza lazima uongoke uvae uzalendo waweza kuwa mwanafamilia
Hiyo inabana sufuria tu dada, ewe unashika kwenye mishikio, hivyo kama unapika sembe/dona ni kwa raha zako.Eli79 hiyo Picha ya kwanza ndo Inashikwaje nipe maelezo kidogo
Unafikiri mambo ni rahisi rahisi tu, kwa ufupi nyumbani mwetu watu aina yako hawatakiwisahau kuhusu hilo.. Natumia gia ya kwenda kwa wazazi lazima nikuchukue tu
Sasa wanielekeza huku wanizodoa kaka vipi? Natafuta pesa sasa hivi acha wakimbie tu,Hiyo inabana sufuria tu dada, ewe unashika kwenye mishikio, hivyo kama unapika sembe/dona ni kwa raha zako.
Angalia we mtanga usikimbiwe na bwana kisa mikono migumu ukimshika unamkwaruza[emoji12] [emoji12]
Nilikuwa nakutania tu "dada wa ufipa", Heri ya pasaka kwako.Sasa wanielekeza huku wanizodoa kaka vipi? Natafuta pesa sasa hivi acha wakimbie tu,
Nashukuru Mungu nimeiona nikiwa Na afya,Nilikuwa nakutania tu "dada wa ufipa", Heri ya pasaka kwako.
Ni km wewe tu mkuuSamahani lakini wewe ni mwanaume au mwanamke kabla sijatoa ushauri
Unaonekana ulidekezwa sana maana mie nimeanza kupika toka darasa la tano.Ila jitahidi kila siku uwe unapika na upende kupika utaacha kuungua[emoji12]Ni km wewe tu mkuu
Yaani sijui kudekezwa nini bibie, nadhan labda kutopika Kila Mara km ulivyosema, nitajitahidi kufanya hivyoUnaonekana ulidekezwa sana maana mie nimeanza kupika toka darasa la tano.Ila jitahidi kila siku uwe unapika na upende kupika utaacha kuungua[emoji12]
Kweli....?Unaonekana ulidekezwa sana maana mie nimeanza kupika toka darasa la tano.Ila jitahidi kila siku uwe unapika na upende kupika utaacha kuungua[emoji12]
Aiseee uchumi mkuu, si kwamba sijui bwana tatizo ni kuunguahaujui kupika unahangaika nini.... ajiri mtu akusaidie
Huko kwachoshwa wakati mwingine, halafu hapo kwa mkono wa MTU unamaana ganijiwekee tu bili kwa mama ntilie hapo kuna MKONO WA MTU
Huko kwachoshwa wakati mwingine, halafu hapo kwa mkono wa MTU unamaana gani
nitatakiwa tu kwenye uzia penyeza rupia nitakupata tu ni suala la kusubiriUnafikiri mambo ni rahisi rahisi tu, kwa ufupi nyumbani mwetu watu aina yako hawatakiwi
Aisee labda kwa kumtumia yule fisi wenu, tofauti Na hapo ni shidanitatakiwa tu kwenye uzia penyeza rupia nitakupata tu ni suala la kusubiri