Aina ya siasa alizofanya Rostam Aziz enzi zake hazitofautiani sana na za mzee David Sanga aka Jah people mjukuu wa mganga maarufu pale Makete ambaye aliwapa sana utajiri Wakinga kabla hajaokoka.
Ukiona Jah people anatetea jambo fulani ujue pana maslahi binafsi kama ilivyokuwa kwa Aziz.
Ninamfahamu Sanga tangu miaka ile ya 90 akiwa mpiga debe na baadae diwani ni mtu " mjanja mjanja" sana mithili ya George Zamdela wa Isidingo.
Maslahi yake kwanza ( akiwa ameyaficha) kisha ya wananchi baadaye.
Kama role model wako ni huyo mwizi wa kwenye malori mstaafu na asie na elimu kabisa basi tatizo lako ni kubwa kuliko tulivyodhania
Take a tranquilizer and cool down before you write Idiocracy
Tatizo la Rais ni kupenda kwake kusifiwa na kutukuzwa kuliko pitiliza.
Kupitia udhaifu wake huu Wanafiki, Wachumia tumbo,Wazandiki, Wafitini, Wabadhirifu, Wapiga dili, na makundi mengine mengi tu ya kihalifu katika jamii; yamekuwa yakitumia njia hii kwa umakini mkubwa kumpamba Mzee kwa lengo moja tu la kutimiza agenda zao OVU na za SIRI.
Atadharaulika sana iwapo ataingia katika huu mtego.