Kila nikiwakumbuka Stella Abidjan naona kama game ya mnyama vs Kaizer iliuzwa kulekule bondeni!

Kila nikiwakumbuka Stella Abidjan naona kama game ya mnyama vs Kaizer iliuzwa kulekule bondeni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa wanaojua historia ya kandanda yetu hasa Simba na Yanga watakumbuka michezo ya akina Murtaza Dewji wa Pan African, Abbas Gulamali wa Yanga na Azim Dewji wa Simba.

Hawa Simba waliocheza robo fainali ya CAF nini kiliwatokea?

Mechi iliuzwa?

Ngachoka kabisa!
 
Nani aliuza? Viongozi au wachezaji? Na wakati ule walipopigwa 5 - 0 na As Vita na Al Ahly ugenini, nazo waliuza?
 
Kwa wanaojua historia ya kandanda yetu hasa Simba na Yanga watakumbuka michezo ya akina Murtaza Dewji wa Pan African, Abbas Gulamali wa Yanga na Azim Dewji wa Simba.

Hawa Simba waliocheza robo fainali ya CAF nini kiliwatokea?

Mechi iliuzwa?

Ngachoka kabisa!
Hakuna cha mechi kuuzwa wala nini. Uongozi wa Simba, benchi la ufundi na wachezaji kwa ujumla walijawa na uchu ya mafanikio ya kufika nusu fainali kuliko jambo lolote lile. Kilichotokea ni kila timu kuutumia uwanja wake ipasavyo kwa namna yoyote ile
 
Back
Top Bottom