Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,133
asante king kong,mi nina kazi japo ya kawaida tu!hapa nilipo nimekata tamaa kutongoza tena

watu wenye best qualifications
huwa hawakosi kazi
na kazi sometimes zinawatafuta wao....
but kamaa vyeti vyako vya kuunga unga
kila ofisi utakayokwenda utaambiwa hakuna kazi...
tumeshaajiri.....
go figure out that.....
Pole! Haifai kukuripukia mahusiano, if relationship does not work wala usilazimishe. Miezi sita sioni kama ni mingi kama unahitaji mtu wa uhakika.Habari wadau!!!
Ama kweli wakati unahitaji kitu hakipatikani na wakati huitaji ndo kinapatikana kwa wingi!!!Mi nimekuwa single kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa,nimeamua niingie tena kwenye mahusiano mapya baada ya kutengana na girlfriend wangu wa awali,kuna binti nilitokea kumpenda sana na nikawa nae urafiki kwa muda then baada ya muda nikarusha topic yangu,akanambia tayari kuna mtu yuko nae tena akanitambulisha kwake!!kama hiyo haitoshi,kila ninaempenda na kumweleza nia yangu hali imekuwa ile ile!!naumia sana na upweke,ni wapi ninapokosea wadau,au nini tatizo?
Habari wadau!!!
Ama kweli wakati unahitaji kitu hakipatikani na wakati huitaji ndo kinapatikana kwa wingi!!!Mi nimekuwa single kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa,nimeamua niingie tena kwenye mahusiano mapya baada ya kutengana na girlfriend wangu wa awali,kuna binti nilitokea kumpenda sana na nikawa nae urafiki kwa muda then baada ya muda nikarusha topic yangu,akanambia tayari kuna mtu yuko nae tena akanitambulisha kwake!!kama hiyo haitoshi,kila ninaempenda na kumweleza nia yangu hali imekuwa ile ile!!naumia sana na upweke,ni wapi ninapokosea wadau,au nini tatizo?
watu wenye best qualifications
huwa hawakosi kazi
na kazi sometimes zinawatafuta wao....
but kamaa vyeti vyako vya kuunga unga
kila ofisi utakayokwenda utaambiwa hakuna kazi...
tumeshaajiri.....
go figure out that.....
Kama ulikuwa kwenye mawazo yangu The Boss.
Ni ngumu kukuta mtoto mzuri yupo yupo tu.
Jamaa inabidi ajifunze ku grab. Lol.