Kila nimpendae yuko kwenye relationship!!!!!

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
jamani msimkatishe tamaa kijana wetu!kijana nenda kamuulize babu yako kuhusu bibi yako,na baba yako kuhusu mama yako,na mjomba wako kuhusu shangazi yako kama walipokuwa wanataka kuwaoa wao walikuwa wanaume pekee waliokuwa wanataka kufanya hivyo....ukimuondoa Adam aliyekuwa mwanaume pekee duniani wakati anaunganishwa na Eva,the rest of the men since then kupigania mwanamke dhidi ya wanaume wenzako ni jambo la kawaida kabisa iwe wengi mnamtaka au unalazimika kumtoa kwa mtu.

ukisubiri aliye single mjomba utasubiri for a century,labda udanganywe yupo single wakati ana mtu au umuotee katoka kuachana na bwana wake benjamin mkapa tower floor ya 20 we umkamate ground floor,tena ukichelewa akiingia ktk daladala tu mwingine anakamata!pigana kijana
 
Ebana tulia tu mkuu mambo yatajiseti yenyewe tu.
 
Nenda hapo afrikasana wapo kibao uopoe hapo mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…