Kila ninayetaka kumuoa ananikimbia!!!

...'nuff said!

Kama kweli uko serious ni PM nikupe contact za bidada mmoja yupo pale Tangibovu na yeye ana tatizo kama lako maana kila kijana anayempitia huwa harudi naona atakufaa sana huyo ila sijui kama mtaendana kiumri maana yeye ni 38 kwa sasa..

mmh! Mbona sasa amenipita kwa miaka 7 ila ngoja nijaribu ushauri wa N4G Halafu kama itashindikana nitaku PM mkuu

asante mkuu
 
Kwa kukusaidia kama nikweli

jaribu kutafuta msichana wa mbali na
oa kabila hujalala naye na hatakama utalala naye usiingize mtarimbo wote ndani hapo utafanikiwa kupata mke. uwe unaingiza taratibutaratibu la sivyo!!

nashukuru sana N4G Ila sasa sindo itakua aibu kama nitaoa halafu mwanamke akimbie kwa sababu ya mtaimbo wangu ila subiri nijaribu
 
Kama kweli uko serious ni PM nikupe contact za bidada mmoja yupo pale Tangibovu na yeye ana tatizo kama lako maana kila kijana anayempitia huwa harudi naona atakufaa sana huyo ila sijui kama mtaendana kiumri maana yeye ni 38 kwa sasa..

Mmmmmmh,
Unataka kuua wewe!!!
 
Kwa kukusaidia kama nikweli

jaribu kutafuta msichana wa mbali na
oa kabila hujalala naye na hatakama utalala naye usiingize mtarimbo wote ndani hapo utafanikiwa kupata mke. uwe unaingiza taratibutaratibu la sivyo!!

Kwa mtaji huu, nashawishika kusema, bora mtu a test zari kabla hajaingia humo ndani
Manake hapa Hata nguvu ya kuomba utakuwa huna wakati huo.

Utajutia kutojaribu, kuliko kujizuia ulikojizuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…