Kila siku anahitaji Penzi jipya imekaaje hii

nafikiri huyo binti pamoja na wazo la kumfanyia cancelling, pia anahitaji mtu wa kumsema na kumuonesha kuwa ujana ni maji ya moto ukienda haurudi bali pia anatengeneza historia yake ambayo haiwezi kufutika kamwe mpka anaingia kaburini,. nampa pole,
 
siku ile sikuwa kiugomvi ugomvi ndo maana, lakini kama ni zile siku za kati zile, siku za 'Ha', ungeona mwenyewe....
 
Huyo dawa yake ndogo tu, MIMBA, tena ya watoto mapacha! Mwenyewe atatulia! Sasa hivi yuko kwenye relationship au? Naweza kujitolea kumpa ushauri nasaha kwa vitendo...
 
Huyo dawa yake ndogo tu, MIMBA, tena ya watoto mapacha! Mwenyewe atatulia! Sasa hivi yuko kwenye relationship au? Naweza kujitolea kumpa ushauri nasaha kwa vitendo...

upele umepata mkunaji
 
siku ile sikuwa kiugomvi ugomvi ndo maana, lakini kama ni zile siku za kati zile, siku za 'Ha', ungeona mwenyewe....

Hahahahaaa....eti ningeona mwenyewe...lol...tuseme ndio unachimba biti? Ndondi unaziweza wewe lakini? Wewe wala hata sitajihangaisha....nitakupuuza tu
 
Hahahahaaa....eti ningeona mwenyewe...lol...tuseme ndio unachimba biti? Ndondi unaziweza wewe lakini? Wewe wala hata sitajihangaisha....nitakupuuza tu

haaaaaaaaaa tunafuana nakwambia hata kama hutaki ntachonga tu mpaka ukasirike tuzidunde lol!!! (ukikunja ngumi kabla hujarusha nshapotea)
 
haaaaaaaaaa tunafuana nakwambia hata kama hutaki ntachonga tu mpaka ukasirike tuzidunde lol!!! (ukikunja ngumi kabla hujarusha nshapotea)

Na ntakutoa baruti na nikikumata hiyo adhabu yake.....Jodeci
 
kuna mawili hapa. Unajua kuna baadhi ya watu ni kama kwenye vichwa vyao hakuna ubongo, ubongo ni kama unakuwa kwenye sehemu zao za siri. Kila binaadamu ana kiongo kimoja cha mwili wake ambacho kinafanya kazi zaidi kuliko vingine. Inawezekana kwa huyo dada kiungo hicho si kichwa wala ubongo, inawezekane ni nyeti zake. Kama sivyo basi inawezekana ni kuwa ana tataizo la "new love maniac", hili naweza kusema kuwa ni moyo wake (loving part) iko more active and it needs new challenges day in day out.

Kwa ushauri wangu angejitahidi kujidhibiti, asijiendekeze.
 
hapo sijakuelewa vzr unamaanisha penzi kwa maana yangono au?
 
Hiyo sentensi ya kwanza imeniacha hoi
 
Aisee mkuu Elli article hii imenigusa naomba msaada wako uni inbox hiyo article nzima kwenye derrick077@gmail.com nitashukur sana nikiipata nami nikaipitia
 
Hiyo sentensi ya kwanza imeniacha hoi

First lady ni kweli. Unajua kuna baadhi ya wanawake ukimsalimia wazo la kwanza linakuja kuwa unamtaka, au hata ukiomba date anajua kuwa unataka ngono. Na kuna wanaume wengine ni hivyo hivyo, kitu cha kwanza anachokiona kwa mwanamke au anachofikiri ni mapaja kiuno etc, hata mwanamke akimsalimia anaweza kudhani kuwa mwanamke anjailengesha, tena huwa hata wanajisifu kwa kutembea na wanawake wengi. This kind of people have their brains in their pants. Ushauri mzuri naona ni kumwambia huyo msichana arudishe ubongo wake kichwani , na kichwa chake kifanye kazi zaidi ya viungo vingine.
 
Thanx Bongolander ..umeeleweka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…