Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Hii inatokea sana pale n'tu anapo taka kubadilishana radha.
Yawezekana huwa ananogewa na size karibia zote sasa anataka kukumbushia kila wakati.
kama yalivyo majini mengine, haya yanabase sana upande wa mapenzi, na yanakuwa yanakupa masharti, mengine kwayo mimba ni uchafu!! mengine hayataki kabisa uwe na m'me!!! mengine yanakuchagulia m'me!! mengine ndo ukilala unahisi unafanya mapenzi na mtuna ukiamka unajikuta umelowa kam ulikuwa unafanya mapenzi. ni mabo kama hayo my diahivi haya majini mahaba ndio ma nini jamani nimeona post nyingine tena jina mahaba loh hatari kweli kweli:A S 20:
:violin:
...Mie binafsi naona kama anashindwa kuelewa mwili wake ni wa thamani sio kila mtu anayekuja usoni kwake anastahili kupewa penzi...:A S 39:
..