Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Hata hao TBC wanapoonyesha picha haipigwi kuonesha umati wa watu unaokusanyika kumsikiliza na kumkubali Slaa ila vise versa kwa JK is true. Yaani ikifika kuoneshwa mkutano wa Slaa picha inamuonesha yeye tu (Side view) lakini kwa kikwete view zote zinaonekana (3D). Nahisi wanaogopa kuonesha namna ambavyo Slaa anakusanya watu. Nasikia hata hao wanaohudhuria mikutano ya CCM wanaletwa pale na Malori ya kukodiwa na mafisadi. Hila zinaonekana mapema je 31/11/2010 itakuaje believe or not uwizi wa kura utakuwa katika level ya kimataifa nasikia hata tiki huwa zinahamishwa kichinachina.
Kila siku huangalia channel ten lakini sioni habari za Dr. Slaa
Hivi kuna nini channel ten mbona habari za kampeni za Dr. Slaa ni "blackout"?
Au siyo "Newsworthy"?
<b><font face="Arial">Kila siku huangalia channel ten lakini sioni habari za Dr. Slaa</font></b><br />
<br />
Rutashubayuma, Channel Ten ilikuwa ikimilikiwa na ubia kati ya Mtaliano aitwae Franco Tramontano na Mhindi Shabbir Dewji wakati huo ikiitwa DTV. Hawa wakagombana kisa matangazo ya pombe na condom, mhindi akajitoa. Ndipo Taliano akaingia ubia na Shabbir Abji mwenye CTN wakaziunganisha kuunda Channel Ten, hivyo wakauwa CTN na Classic FM wakaunda C2C na Magic FM.
Mzee Mengi aliwahi kuingiza mguu humo na sijui alichomokea wapi, ndipo Taliano akauza share zake zote kwa Tannil Somaiya ambaye ni mbia mkuu wa RA kwenye Vodacom hivyo RA ndiye mmiliki wa Channel Ten.