Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hawa wadau wanaoitwa wadau wa mabaraza ya demokrasia tangu 2021 wao ni vikao tu. Leo wako Dar kesho Dodoma keshokutwa Arusha.
Kwa miaka miwili hatujaona impact wanazunguka tu kama mpira wa kona.
Kwa kuwa wao ndio wenye Nchi waache kujisumbua tu.
Swala la demokrasia ni gumu kwao.
Wafanye vile wanavyotaka.
Kwa miaka miwili hatujaona impact wanazunguka tu kama mpira wa kona.
Kwa kuwa wao ndio wenye Nchi waache kujisumbua tu.
Swala la demokrasia ni gumu kwao.
Wafanye vile wanavyotaka.