Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaha wanapoteza muda tuKukagua na kuzindua miradi hakuna
Huenda ukawa sahihiKaa ukijua CCM hawawezi kuleta katiba mpya, hawawezi kuleta chaguzi huru, na hatuwezi kuwaondoa kwa nguvu ya kupiga kura.
Bila external force lazima tusahau kuwaondoa CCM madarakani, maana wanajua wakileta katiba mpya ndio mwisho wao, nawao washapanga kututawala vizazi na vizazi.
Watanzania tuamke !
UmeonaaeMbinu za kupoteza muda, hapa ndio hua naelewa kuwa nchi hii angalau CDM wanajielewa. Imagine miaka miwili ya vikao na mikutano ya matamko yasiyo na matunda
Hakuna sheria hata moja iliyobadilika. Leo uchaguzi mdogo Mbarali unasimamiwa na tume ileile. Tena rais yuko bize kuteua na watu wapya kwenye tume. Kuna la maana hapo??
Hapa ndio utajua wapinzani halisi ni akina naniMbinu za kupoteza muda, hapa ndio hua naelewa kuwa nchi hii angalau CDM wanajielewa. Imagine miaka miwili ya vikao na mikutano ya matamko yasiyo na matunda
Hakuna sheria hata moja iliyobadilika. Leo uchaguzi mdogo Mbarali unasimamiwa na tume ileile. Tena rais yuko bize kuteua na watu wapya kwenye tume. Kuna la maana hapo??
Yani hao washajipanga kututawala, wanawekena madarani kiundugu.Huenda ukawa sahihi