Kila Siku Namuomba Mungu Nikija Kufa! Nife Kweli.

mzama chumvini

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2016
Posts
730
Reaction score
642
Sabakher Wadau; Kuna Kitu Ambacho Nakifikiria Daily! Yaan Namuomba Sana Mungu Nikija Kufa Nisije Kuzinduka Mochwari Usiku! Kwa Sababu Najua Nitachanganyikiwa Sana!! NAOMBA NIKIFA NIFE KWEL.
 
Hatarr
[emoji2] [emoji2] [emoji115]
 
Sabakher Wadau; Kuna Kitu Ambacho Nakifikiria Daily! Yaan Namuomba Sana Mungu Nikija Kufa Nisije Kuzinduka Mochwari Usiku! Kwa Sababu Najua Nitachanganyikiwa Sana!! NAOMBA NIKIFA NIFE KWEL.
Mzama chumvini Hata usiwe Na wasi wasi. Siku ikifika Kidume kinachua roho tu.Lakini ungali hai fanya mambo mazuri Na ukataze mambo mabaya.
 
Hizi habari za kufakufa hapana ngoja nipite tu!!
 
Bhangi mbaya sana
Sawa Mkuu Mim Navuta Bang!! Ila Omba Mungu Ili Lisikutokee! Mim Ni CO nipo Kazin Mwaka Wa 2 Nacheza Na Cadaver Everyday! Ila Naomba Lisinitokee Hli! Sasa Wew Kama Kidume Fanya Maomb Kinyume Na Mim
 
Sabakher Wadau; Kuna Kitu Ambacho Nakifikiria Daily! Yaan Namuomba Sana Mungu Nikija Kufa Nisije Kuzinduka Mochwari Usiku! Kwa Sababu Najua Nitachanganyikiwa Sana!! NAOMBA NIKIFA NIFE KWEL.
Nakuhakikishia utakufa wiki nzima mpaka ufe kabisa
 
Hata mimi nimewaza mkuu.nikifa nife kweli haya mambo unakufa af unashituka dadadek hata ndugu zako wanakukimbia sitaki.il mshana jr tema mate chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…